Angalia video hii ujifunze na ujue kufanya mapenzi kupitiliza au kila Mara husababisha kuchokana mapema ama kupoteza hamu ya tendo la ndoa kwa mwenza wako (inaboa)
Thursday, April 19, 2018
Ali kiba afanya sherehe ya mabilioni ya pesa huko nchini Kenya kwa kumuoa mwanamke ambaye kwa jina na sura vimehifadhiwa kidogo ila siku si nyingi tutakupatia jina na sura za huyo mwanamke katika blog yako pendwa ya PLANTA MEDIA
Tazama video juu ikionesha tukio zima la ndoa ya msanii Ali Kiba
PLANTA MEDIA
Tembelea blog yetu kila siku ili upate habari zilizo bora na pia jiunge na group/kundi letu la whatsapp ili uweze kuhabarika kwa karibu pia